Search

975 results for Elizabeth Edward :

  1. Kitita cha matibabu chawaibua madaktari bingwa wa magonjwa ya ndani

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amewataka watalaamu wa afya kutoa mapendekezo kwa kuzingatia Mwongozo wa Taifa wa Matibabu na Orodha ya Taifa ya Dawa

  2. Unyanyapaa kikwazo mabinti waliojifungua kurejea shuleni

    Katika utafiti huo, asilimia 61.2 ya wahojiwa walieleza wanashindwa kuendelea na masomo kwa sababu ya udhalilishaji wanaokutana nao wakiitwa majina yasiyofaa na yanayokatisha tamaa.

  3. PRIME Wanayopitia wanawake, wanaume wanaoachana katika kumtunza mtoto

    Wakati wimbi la watoto wanaolelewa na mzazi mmoja likiendelea kushika kasi kutokana na ongezeko la wazazi na wenza kutengana baada ya kupata mtoto, imebainika wenza hao hupitia madhila katika...

  4. Makonda adai mawaziri wanahusika kumtukana Rais Samia mitandaoni

    Ameonya kuwa wasipoacha atawataja kwa majina Aprili 15, 2024, awaomba viongozi wa dini kumwombea Rais Samia.

  5. Makandarasi wasiomaliza kazi kutopewa zabuni mpya REA

    REA yatoa angalizo kwa makandarasi ikielekea kuhitimisha awamu ya tatu ya mradi wa kupeleka umeme vijijini, tayari kuanza utekelezaji wa kupeleka umeme kwenye vitongoji.

  6. Askofu Amani asimulia Sokoine alivyosaidia jamii ya wamasai

    Monduli . Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha, Isack Amani amesema aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, hayati Edward Sokoine alikuwa kiongozi mzalendo, hodari, mkereketwa, mwenye mawazo ya...

  7. LIVE: Kinachoendelea nyumbani kwa hayati Sokoine

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kushiriki ibada ya kumbukizi ya miaka 40 ya kifo ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine.

  8. Rais Samia akerwa wafanyabiashara kukwepa kodi

    Rais Samia amesema wakati Serikali yake inaingia madarakani Machi 19 mwaka juzi haikutaka kujihusisha na kodi za dhuluma lakini sasa dhuluma hiyo inafanywa na wafanyabiashara kwa kuzuia mapato ya...

    New Content Item (1)
  9. Bakwata yaeleza chanzo ndoa nyingi za vijana kuvunjika

    Utafiti huo uliofanyika katika mikoa sita nchini ulilenga kubaini chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika na matokeo yameonesha licha ya uwepo wa sababu nyingine zinazochangia ndoa kuvunjika, ukosefu wa...

  10. PRIME Ubora vyuo vikuu: UDSM, wadau wafunguka

    UDSM yajipanga kufanyia kazi mapungufu yanayoibuliwa na taasisi za upimaji ubora, wadau waeleza umuhimu na dosari za upimaji, vyuo vikuu vikitakiwa kupambana kufikia vigezo vya kimataifa.

Page 1 of 98

Next